Maalim Seif Sharif Hamad
Nimepokea taarifa ya msiba huu mkubwa kwa mshituko na masikitiko makubwa, taarifa za kifo cha Mhe. Maalim Self Sharif Hamad. Kwa niamba ya familia yaangu, ninapenda kutoa salaam za rambirambi kwa Familia, Mhe Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dr. John Joseph Pombe Magufuli, Mhe. Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Hassan Mwinyi na watanzania wote walioguswa na msiba huu. Daima tutamkumbuka kwa mchango wake mkubwa alioutoa kwa taifa letu. Punzika Kwa amani – R.I.P

Bupe Amon Kyelu
- February 21, 2021
- 4:41 am
- ID: 27470