In Loving Memory of

Maalim Seif Sharif Hamad

Maalim Seif Sharif Hamad

Seif Sharif Hamad (22 October 1943 – 17 February 2021) was a Tanzanian politician who served as the First Vice President of Zanzibar.

First Vice President of Zanzibar
In office
7 December 2020 – 17 February 2021

Personal Details

Born: 22 October 1943 ,Pemba, Sultanate of Zanzibar
Died: 17 February 2021 (aged 77), Dar Es Salaam, Tanzania
Nationality: Tanzanian
Political Party: Alliance for Change and Transparency
Other political affiliations: CCM (1977–1988)
Alma Mater: UDSM (BA (Hons))

Books: Race, Revolution, and the Struggle for Human Rights in Zanzibar: The Memoirs of Ali Sultan Issa and Seif Sharif Hamad

Book Owner: Embassy of the United Republic of Tanzania in Tokyo, Japan
View Condolences (Max 500)
Add New Condolence Message

Frank Mtao

Mwanasiasa nguri na Kiongozi shupavu aliyekuwa Mpapambanaji ameumaliza mwendo. Kumbukumbu ya aliyoyafanya yatabaki milele. Pumzika kwa amani Maalimu. …

Catherine Mfundo-Maynard

Kwa niaba ya watanzania wote wanaoishi Australia ya kusini, tunaomba roho ya marehemu ipumzike salama. Umeondoka mapema sana Baba. Mungu aibariki familia yako na watanzania wote.  …

Bupe Amon Kyelu

Nimepokea taarifa ya msiba huu mkubwa kwa mshituko na masikitiko makubwa, taarifa za kifo cha Mhe. Maalim Self Sharif Hamad.  Kwa niamba ya familia yaangu, ninapenda kutoa salaam za rambirambi kwa Familia, Mhe Rais wa Jamhuri ya Tanzania Dr. John Joseph Pombe Magufuli,  Mhe. Rais wa Zanzibar Dr Hussein Ali Hassan Mwinyi na watanzania …

Edda Magembe

Bwana ametoa, Bwana ametwaa, jina lake lihimidiwe. Hakika Baba yetu mpendwa tutakukumbuka milele daima kwa mapenzi uliyokuwa nayo kwa nchi yako. Mwenyezi Mungu ailaze roho yake Mahali pema peponi. Amina. Ms Edda Magembe …

John Kambona

Nimepokea kwa Mshtuko mkubwa taarifa ya kilo ya kiongozi wetu Maalim Seif Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais ya Serikali ya Mapinduzi Ya Zanzibar, mwenyezi mungu ailaze roho yake mahali pema peponi …